Mazoezi ya kijeshi ya kila mwaka ya Taiwan, Han Kuang, yameanza Jumatano ya wiki hii, kisiwa hicho kinaimarisha ulinzi wake dhidi ya uvamizi wowote kutoka China. Mazoezi ya Han Kuang yatadumu kwa siku ...
Ulchi Freedom Shield ni jina la mazoezi ya kijeshi yanayofanyika kila mwaka nchini Korea Kusini, kwa kawaida yakihusisha maelfu ya wanajeshi katika mafunzo ya kituo cha maamuzi na mazoezi ya pamoja.